Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, May 22, 2017

KITABU CHA NGUVU YANGU DHIDI YAO CHAZIDI KUPENDWA

 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kitavashali (Katikati), akiwa na kitabu cha Mwandishi Gordon Kalulunga kiitwacho Nguvu yangu dhidi yao kilichozinduliwa hivi karibuni mkoani humo.
Mkurugenzi wa mfuko wa wakfu wa vyombo vya habari nchini Tanzania, Tanzania Media Foundation (TMF) Ernest Sungura, akiwaonesha waandishi wa habari kitabu cha Nguvu yangu dhidi yao kilichoandikwa na Mwandishi Gordon Kalulunga (Mwenyesuti nyeusi).

No comments: