Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, June 14, 2017

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMIMambo anazidi kuwa mazuri kwa wanaoendana wakati kadri siku zinavyozidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha nyanja za utendaji kazi katika biashara.

Dar essalaam  Kampuniya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tuliouanzisha wa kiteknolojia “Nikohub” tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download  Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. 

Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakaokula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downlod tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.

No comments: