Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, June 16, 2017

RIDHIWAN KIKWETE ANAVYOFUATA NYAYO ZA RAIS JAKAYA KIKWETE


Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete akabidhi Msaada wa vitanda vya kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5 vilivyo katika Tarafa 5  za Halmashauri ya Chalinze .

Vifaa hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa Ahadi za Mheshimiwa Raisi wetu  na Ilani ya CCM   -2015  kwa Wananchi wa Halmashauri ya Chalinze.

No comments: