Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, July 05, 2017

HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YATEKELEZA AGIZO LA MAGUFULI KUWA NA DUKA LA DAWA

 Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Rehema Madusa (wa tatu kulia) akikata utepe ishara ya kuzindua Duka la dawa baridi na moto
linalomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya hiyo ambalo lipo ndani ya Hospitali ya Wilaya.


Wa pili kulia n Mwenyekiti wa halmashuri Bosco Mwanginde na wa kwanza ni kaimu Mkugegenzi wa wilaya ya Chunya ndugu Weston Njege.
PICHA ZOTE NA KENNETH NGELESI


Mkuu wa Wilaya ya Chunya Rehema Madusa wa kwanza kushoto akimsikiliza kwa makini Mfamansia wilaya hiyo Edward Laiton (wa pili kushoto) mara baada ya kuzindua wa duka la dawa baridi  na moto lililojengwa na Halmashauri hiyo ndani ya Hosipital ya Wilaya ya Chunya.

Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashuri Bosco Mwangimba katikati ni kaimu mganga Mkuu Wilaya ya Chunya  Saasita Shabani.


No comments: