Huzuni ya tanda kwa Wachezaji wa manchester united, waondoka uwanjani sura chini

 Huzuni imetanda kwa wachezaji na jopo zima la ufundi kwa machester united kufuatia kupoteza mchezo wao wapili mfululizo kwa kichapo cha goli 3 kwa 1.
 Manchester united inashikilia nafasi ya kumi katika msimamo wa ligi ikijikusanyia point 10 katika michezo 3 uku ikiwa nyuma ya bournemouth ipo nafasi mwenye pointi 10 na mchezo mmoja mkoni.

 Tofauti ya point kati ya mtu wa kwanza na yeye ni point 9 ni sawa na michezo mitatu .

Manchester united ina cleenshirt moja tu uku ikiruhusu magoli 12.

Post a Comment

0 Comments