ADIDAS WAHAMIA ARSENAL ,WAINGIA MKHATABA MIAKA 5

Arsenal wametangaza adidas itakuwa kampuni inayotengeneza jezi zao kuanzia msimu wa 2019/2020.

Ushirikiano huo mpya utaanza rasmi Julai mosi 2019, ambapo mkataba wa miaka mitano na Puma unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu .

Mkataba na Adidas ni wa miaka mitano wenye thamani ya Pauni Milioni 300.

Post a Comment

0 Comments