LEO Desemba 2,2024 katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam , Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) (Pichani), akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Dkt. Faustine Englibert Ndugulile aliyefariki Novemba 27,2024 ambaye pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa (WHO).



0 Comments