MAHUNDI AKUTANA NA RAIS WA KWANzA MWANAMKE AFRICA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii Tanzania Mhe. Maryprisca Mahundi (Kushoto) akiwa na Rais wa Kwanza Mwanamke Barani Africa Kutoka Liberia Bi. Elen Johnson Sirleaf  (Kulia) wakiwa Ethiopia Leo 13/02/2026.


Mheshimiwa Mahundi amethibitisha hiyo picha Kwa kusema  "Ni picha halisi na nimebahatika kukutana nae hapa Addis Ababa katika mkutano mkubwa wa AFRICAN WOMEN LEADERS NETWORK"


Ifuatayo ni Historia ya Bi. Elen.



Post a Comment

0 Comments