Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Mkoa wa Mbeya, na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh.Patrick Mwalunenge, amempokea Mjumbe wa halmashauri kuu CCM Taifa M-NEC, MCC Salimu Abri (ASAS), tayari kwa kufunga maadhimisho ya miaka 49 Chama hicho katika Mkoa huo.
Awali maadhimisho hayo kwa Mkoa wa Mbeya yalizinduliwa na Mwekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya katika, Wilaya ya Chunya Kata ya Lupa tarehe 30.01.2026.

0 Comments