JAJI MUTUNGI AFANYA MAZUNGUMZO NA CHIKWERA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi (Kulia), amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera, leo Aprili 10, 2026 jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho ni sehemu ya ziara ya Chakwera nchini Tanzania iliyoanza Aprili 8, 2026, ambapo anatarajiwa kuendelea kukutana na makundi mbalimbali ya wanasiasa, taasisi na viongozi wa serikali

Post a Comment

0 Comments