Chelsea wasajili kipa mpya, msimu uliopita hakuonekana uwanjani

Wakati hatma ya Thibaut Courtois kuendelea kubaki darajani ikiwa bado haijafahamika, Chelsea wamekamilisha usajili wa golikipa Robert Green kwa kumsainisha mkataba wa mwaka 1 wa kuitumikia The Blues.

Green mwenye miaka 38, hakucheza mchezo hata mmoja msimu uliopita akiwa na Huddersfield ambao waliamua kumuacha.

Post a Comment

0 Comments