Diego simeone amtaka mwanaye atue atletico

Atletico Madrid wamewasilisha ofa ya kutaka kupata saini ya Giovanni Simeone, mtoto wa kocha Diego Simeone , kwa mujibu wa taarifa kutoka Sport, nchini Hispania.

Ofa hiyo imeripotiwa kuwa Euro Milioni 40 lakini Fiorentina wameripotiwa kutaka zaidi ya hiyo.

Post a Comment

0 Comments