GARETH BALE APEWA KIATU CHA DHAHABU , ATAWAZWA MFUNGAJI BORA WA MDA WOTE

Gareth Bale wa Wales jana alikibidhiwa kiatu cha dhahabu kabla ya mechi ya Wales vs Hispania.

Kiatu hiko cha dhahabu alikabidhiwa baada ya kuwa ndiye mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Wales mpaka sasa amafunga magoli 30.

Post a Comment

0 Comments