KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WATINGA IKULU NCHINI UGANDA, MSEVENI AWAOMBA KUKUZA MZIIKI

Mapena hii leo Kanye west "ye"ameongozana na mkewe Kim kardashian na kudhulu katika ikulu ya Uganda katikati ya mji mkuu Kampala kuonana na rais yoel Mseveni. -
Kanye west ambaye yupo barani afrika kukamilisha album yake ya YADHI itakayo toka ivi karibuni
-

Mseveni amemuomba kanye west kusaidia kukuza mziiki wa nchini Uganda.
-
Tayari msanii Bebe cool ametangaza kufanya lolote lile ilimradi apate nafasi ya kufanya collaboration na Kanye west
-
Katika hatua nyingine kanye west amempa zawadi rais wa Uganda Mseveni ya viatu aina ya Yeezy.

Post a Comment

0 Comments