MOURINHO APEWA MRITHI MAPEMA, AONYWA MWENDO UKIWA MBAYA

Manchester United bado wanajiandaa na ‘Plan B ‘ kama Jose Mourinho akishindwa kubadilisha matokeo ya Manchester United kuwa mazuri , wakiandaa mpango wa kumnasa Maxi Allegri kutoka Juventus.

United wanataka kuweka mezani ofa ya mkataba wa miaka mitatu , mshahara wa Pauni Milioni 8 kwa mwaka na fungu la usajili la Pauni Milioni 200. .

Lakini taarifa kutoka Italia zinasema kwamba Allegri hayupo tayari kuondoka Juventus katikati ya msimu .

Post a Comment

0 Comments