POCHETTINO ATUPA DONGO KWA PEREZ, AFANANISHA MADRID NA MWANAMKE

Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino amefananisha tetesi zinazomuhisha na Real Madrid kama vile kutamaniwa na Mwanamke mwingine kwa kuwa yeye mtanashati.

. " Ni kama vile upo na Mke wako na mmeshikana mikono , mnatembea mtaani."

"Lakini kwa sababu wewe ni mtanashati, mwanamke mwingine anakuangalia na kukutamani . Lakini mke wako anajivunia sana wewe na badala ya kuwa na wasiwasi , anaamua kuwa na furaha sana na wewe na kuzidi kuzama kwenye mahaba na wewe."

Pochettino amekiri kwamba ana furaha ndani ya Spurs.

Post a Comment

0 Comments