kalulunga Blog
HOME
Home
Azam fc
AZAM FC YA IPIGA KMC FC NYUMBANI, 1 - 0
AZAM FC YA IPIGA KMC FC NYUMBANI, 1 - 0
GORDON KALULUNGA
August 27, 2019
Mara baada ya kutamatika wiki ya kimataifa Azam ya rejea kwa kishindo ligi Tanzania bara.
Azam fc imeibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri. Goli limetumbukizwa kimyani na Iddy suleiman "Nado" dakika 16'.
Takwimu za mchezo.
Hii ni mara ya kwanza azam fc wanapata ushindi mbele ya Kmc fc kwa michezo ya ligi kuu Tanzania bara.
Azam fc
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Most Popular
Contact form
0 Comments