MAMBO SI SWARI KWA LUKA JOVIC HUKO MADRID.

Klabu ya real madrid huenda ikamtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Luka jovic walie msajiri miezi miwili tu iliyopita kwa ada ya paundi €62m kutokea Frankfurt ya ujerumani.

Taarifa za awali zinadai kiwango anachokionesha bado hakija mkuna kocha wake  Zidane. Ac milan wamepewa nafasi ya kumchukua kwa mkopo.

Post a Comment

0 Comments