Leo asubuhi kulisambaa taarifa zilizo fafanua kuwapo kwa kikao jijini paris kilicho wakutanisha viongozi upande wa barcelona na Paris st. Geman agenda kuu ikiwa ni kujadili uhamisho wa mshambuliaji Raia w Brazil Neymar da santos jr.
Kwa mjibu wa ESPN Barcelona wapo tayari kutoa kiasi cha paundi million mia ( €100M ) pamoja na wachezaji wawili Ractic na courtinho ili kubadilishana na Neymar.
0 Comments