Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi (Katikati) akipokea na kutoa zawadi kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya CECIS Bw. Guo Zhaoping leo tarehe 21 Oktoba, 2024 jijini Dar es Salaam mara baada ya hafla ya kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya Uwekezaji na Mafunzo kati ya Serikali ya Tanzania na China uliosainiwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bw. Mohammed Abdulla na Bw. Zhaoping.




0 Comments