Matukio mbalimbali katika picha zikimuonyesha Naibu Waziri Maryprisca Mahundi (Wa TATU kutoka kushoto) akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakimpokea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) alipo wasili katika Kongamano la Nane la Tehama (TAIC2024) lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa JNICC uliopo jijini Dar es salaam Oktoba 17,2024.
Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa alifunga kongamano hilo lililoanza Oktoba 13, 2024 likiwakutanisha wadau wa TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.





0 Comments