Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Wa Pili kutoka Kushoto), Leo Tarehe 31 Octoba, 2024 ameambatana na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Mhe Monica Chikwera alipoenda kutembelea Hospitali ya Kairuki Green IVF iliyopo Bunju A. Mianzini Jijini Dar es salaam.
Lengo la ziara ya Mhe. Monica Chikwera ni kujionea namna Hospitali hiyo inavyo tekeleza majukumu yake katika kutoa huduma ya upandikizaji wa mbegu za kuzarisha watoto Kwa Wazazi wenye changamoto za uzazi .

0 Comments