Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Wa Pili kutoka Kulia), Leo Tarehe 29 Oktoba 2024. Ameshiriki katika Mkutano wa kwanza wa Tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya Tanzania na Urusi uliofanyika katika Ukumbi wa Serena Hotel, Uliopo Jijini Dar es salaam.
Aidha , Mkatano huu ni Utekelezaji wa mkataba wa makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Urusi Kuhusu kuanzisha Tume ya pamoja ya ushirikiano wa serikali wa Biashara na Uchumi ulio sainiwa mwaka 2022. Ukiwa na lengo la kukuza biashara na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi.




0 Comments