MHE. MHANDISI MARYPRISCA MAHUNDI AJITOKEZA KUPIGA KURA MTAA WA MAYOMBO KATA YA IWAMBI

 Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya leo Novemba 27,2024 ametumia haki yake ya kikatiba kupiga kura Mtaa wa Mayombo Kata ya Iwambi Jijini Mbeya katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaowaweka madarakani Wenyeviti na Wajumbe kwa kipindi cha miaka mitano.



Post a Comment

0 Comments