MBUNGE MASACHE KASAKA AMEPIGA KURA SINJILILI A, CHUNYA.


Mh.Masache N. Kasaka Mbunge Jimbo la Lupa-Chunya mapema leo amepiga kura katika Kitongoji anachoishi Sinjilili "A" Wilayani Chunya Mkoani Mbeya, na kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.


Mh Masache Kasaka ametoa rai kwa wana-chunya na watanzia kwenfa kupiga kura na kutimiza haki yao kikatiba kama raia wa Tanzania.

SERIKALI ZA MITAA SAUTI YA WANANCHI JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI.

Post a Comment

0 Comments