Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb) amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Helios Tanzania Bw. David Dzigba aliyefika ofisini kwake iliyopo Mjiwa serikali Mtumba kwa lengo la kujitambilisha, Leo Tarehe 10/03/2025.
Aidha Mkurugenzi huyo aliambatana na Bw. Ally Athuman Mkuu wa idara ya Uhandisi na Utendaji pamoja na Bw Deodatus Hondo Mhandisi Idara ya Uendeshaji wote wakitokea kampuni ya Helios Tanzania.





0 Comments