DED ERICA YEGELLA AIMARISHA MAHUSIANO NA BANK YA CRDB MBEYA DC



MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Bi. ERICA E YEGELLA (Katikati) amepata fursa ya kutembelea tawi la Benki ya CRDB tawi la Mbalizi Mkoani Mbeya.

Mkurugenzi wa wilaya umekuwa faraja kwetu, kwani tumeweza kujadiliana mambo mablimbali ya kibiashara ikiwemo huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya CRDB ikiwemo mikopo ya aina mbalimbali kama imbeju.

Kaimu meneja wa tawi hilo la CRDB Mbalizi Ndugu Rudovick Rimisho, amemshukuru kiongozi huyo kwa kufika na kujadiliana mambo kadhaa ya mahusiano ya biashara ambapo MMkurugenziErica Yegella ametoa shukrani kwa uongozi wa benki kupitia CRDB Bank foundation kwa kuanzisha mpango huo wa imbeju kwani unawezesha wananchi wengi kunufaika na mikopo, pia kupata akaunti ambazo hazina makato. Pia ameahidi kufanya biashara na benki.

Pichani katikati ni Mkurugenzi wa wilaya ya Mbeya ( Bi. Erica E. Yegella ), kulia kwake ni ndugu Peter Lubava ( Kaimu meneja wa tawi Mbalizi ), kushoto kwake ni ndugu Ludovick Rimisho ( Branch Quality Assurance) na wafanyakazi wengine wa tawi.

Post a Comment

0 Comments