Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amemuomba Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kumpatia ulinzi au kwenda Mahabusu kwa hiyari yake kwa kile alichosema anajihisi kutokuwa salama.
Katika ukurasa wake wa x, ameandika kuwa kuna watu wanamfuatilia hivyo ameona aombe msaada wa ulinzi kwa Rais Samia ili awezè kuwa salama.

0 Comments