Mbunge mteule Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameongoza Wanawake wa Wilaya Chunya Mkoani Mbeya katika mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)katika viwanja vya Umoja wa vijana Mamlaka ya mji mdogo wa Makongolosi.
Mahundi amegombea nafasi ya Ubunge Viti Maalumu akiwakilisha Wanawake Mkoa wa Mbeya kutokea Wilaya ya Chunya.






0 Comments