KATIKA utangulizi wa sherehe ya miaka 49 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Mkoa wa Mbeya Ndugu Ndele Mwaselela, ametembelea hospital ya wilaya ya kyela na kumpongeza Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kupeleka Tsh 1,26 billion ndani ya siku 100 tangu achaguliwe.
Fedha hizo ni kwa ajili ya kuendelea kuboresha hospital hiyo.


0 Comments