MAHUNDI AONGOZA JOPO LA WIZARA WASILISHIO UTEKELEZAJI WA MIRADI

 


Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikiongozwa na Naibu Waziri wake Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi iliyotengewa fedha katika mwaka wa fedha 2026 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii jijini Dodoma.












Post a Comment

0 Comments