MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA MKOANI MBEYA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Kushoto), pamoja na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Nassirya Nassir Ally wameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo yamefanyika katika Viwanja vya Stendi ya Kabwe Mkoani Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Jaffari Haniu Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.


Maadhimisho ya Siku ya Wanawake yameongozwa na kauli mbiu isemayo "Haki kwa Wanawake na Wasichana , Msingi wa Maendeleo Jumuishi kufikia Dira 2050.







Post a Comment

0 Comments