MAHUNDI AFANYA ZIARA MKOANI RUVUMA

Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi Agosti 16,2024 amefanya ziara ya siku moja katika  Halmashauri ya Madaba Mkoa wa Ruvuma ili kujionea upatikanaji wa mawasiliano ya simu ambayo imefanyika vijiji nane ambavyo vipo  katika Halmashauri hiyo vilivyo na changamoto ya mawasiliano ya simu.

Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata mawasiliano ya uhakika ya simu.






Post a Comment

0 Comments