MASACHE NA MULUGO WAWAPA TABASAMU JOHN BOSCO

 

Kushoto ni Mbunge Jimbo la Lupa-Chunya mkoani Mbeya Mhe. Masache Kasaka akifuatiwa na Mbunge wa Jimbo la Songwe Mkoani Songwe Mhe. Philipo Mulugo.

Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya Mhe. Masache Kasaka.

15,septemba,2024

Mbunge wa Jimbo la Lupa Mhe. Masache Kasaka amekuwa mgeni rasmi pamoja na Mbunge wa Songwe Mhe. Philipo Mulugo ambao kwa pamoja wameshiriki uzinduzi wa Kwaya ya John Bosco, Kigango cha Mkwajuni Mkoani Songwe. 

Uzinduzi huo umeongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga na kwaya mbalimbali. 

Mhe.  Masache Kasaka amechangia kwaya hiyo kiasi cha Shilingi Mil 1 na Mhe. Mulugo pia amechangia kiasi cha Shilingi Mil 1.

Jumla ya kiasi cha shilingi Mil 12 zimepatikana.


*TUMPE BWANA MUNGU WETU*

*MALIMBUKO YA MAZAO YETU*

Post a Comment

0 Comments