MHE. MAHUNDI ASHIRIKI KONGAMANO LA WADAU WA MAWASILIANO ARUSHA


Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) (Kulia) akisalimiana na baadhi ya viongozi  mara baada ya kuwasili Jijini Arusha ili,

kushiriki hafla ya ufunguzi wa kongamano la Connect to Connect linalojumuisha wadau wa Sekta ya Mawasiliano ndani na nje ya nchi linalofanyika katika Hotel ya Gran Melia jijini Arusha.

HABARI PICHA.....










Post a Comment

0 Comments