SEPTEMBA 17.09.2024, Makatibu wa Chama Cha Mapinduzi Kata za Bulyaga, Msasani na Kawetele Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, wamepokea Bendera kutoka Kwa Mdau wa Maendeleo na Chama hicho Ndg Eliurd Mwaiteleke hii ni kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Vitendea kazi hivyo vimekabidhiwa na Robert Mwandi kwa niaba ya Eliurd Mwaiteleke.
Viongozi hao wamemshukuru ndgu Eliurd Mwaiteleke na wamemuomba aendelee kuwaunga Mkono ktk Uchaguzi serikali za Mitaa na Chaguzi zijazo.



0 Comments