Ametekeleza ahadi yake ya kuwasaidia wafungwa na mahabusu Gereza la Ruanda lililopo katika Jiji la Mbeya vifaa vya michezo mipira na seti mbili za sare pamoja na tank la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita elfu tano.
Aidha Mhe. Mahundi ameahidi kwendelea kuwaunga mkono Kwa kuwanunulia magodoro pamoja na ujenzi wa bweni kwa ajili ya wafungwa wanawake.
Kwa upande wake Mkuu wa Gereza la hilo Kamishina Msaidizi Sinjonjo Mwakyusa ameishukuru Taasisi ya Maryprisca Women Empowerment Foundation pamoja na Ofisi ya Mbunge Mhe. Mahundi kwa msaada alioutoa nakueleza kuwa utasaidia kuimarisha afya za wafungwa na mahabusu apo gerezani.



0 Comments