WAZIRI MKUU ATUA MKOANI MBEYA KUELEKEA NJOMBE

 


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Kassim Majaliwa amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera tayari kwaajiri ya Safari ya Kuelekea Wilayani Makete Mkoani Njombe kwaajiri ya Kushiriki  Mazishi ya Marehem Mzee Yeremia Moses Kusiluka Baba Mzazi wa Mh: Balozi Dkt: Moses Kusiluka  Katibu Mkuu Kiongozi.



Aidha Dkt: Emmanuel Nchimbi Katibu Mkuu CCM Taifa ameambatana na Waziri Mkuu katika Safari hiyo ya Kwenda kumpumzisha Mzee Yeremia Moses Kusiluka.

Post a Comment

0 Comments