Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) (Mwenye Tai Nyekundu) akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) (Kushoto) wakiwasili katika Kikao kazi cha Jukwaa la Jamii ya Habari Duniani (WSIS) Kanda ya Afrika kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar Salaam leo Oktoba 9-11, 2024.
#WSIS #WSIS2024



0 Comments