MBUNGE MASACHE NA VIKUNDI 127 CHUNYA Lupa

 



 Chunya 📍May 23,2025

Mbunge wa jimbo la lupa Mheshimiwa Masache Kasaka ambae ni mgeni rasmin amekabidhi   hundi ya kiasi cha shilingi bilioni 1.08 toka katika halmashauri ya wilaya ya Chunya kwa Vikundi 127 vya Wanawake, Vijana na Walemavu. 

 Mhe Masache kasaka Katika hafla ya kukabidhi fedha hizo amesisitiza vikundi hivyo vitumie pesa walizopewa kulingana na maombi ya mkopo na zilipwe kwa wakati ili watu wengine waweze kukopeshwa. 

KAZI NA UTU

CHUNYA TUNASONGA MBELE

Post a Comment

0 Comments