SALAAM ZA CHRISTMAS KUTOKA KWA BI. ERICA YEGELLA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Bi. Erica Yegella, anawatakia Heri ya Krismas na Mwaka mpya 2026 Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Amenukuliwa akisema "Tusherehekee kwa Furaha, Amani na Upendo kwa Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo jema.

Post a Comment

0 Comments